Friday, 31 January 2025
Thursday, 30 January 2025
TAASISI YA MAMA ONGEA NA MWANAO YAFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI GWAJIMA
emmanuel mbatilo
January 30, 2025
TAASISI ya Mama Ongea na Mwanao imefanya mazungumzo na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Makundi Maalumu, Dkt. Dorot...
WAZIRI WA UCHUKUZI AHIMIZA KASI ZAIDI USIMAMIZI NA UMALIZIAJI UJENZI UWANJA WA NDEGE MSALATO
OKULY BLOG
January 30, 2025
Waziri wa Uchukuzi Prof Makame Mbarawa amehimiza wasimamizi wa ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Msalato ambao ni TANROADS na TAA ku...
KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA UENDESHAJI WA KIWANDA CHA KMTCL
OKULY BLOG
January 30, 2025
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo,akizungumza wakati wa Waziri wa Viwanda na Biashara akiwasili...
MADIWANI WA MANISPAA YA SHINYANGA WAPITISHA MAPENDEKEZO YA MPANGO NA BAJETI MWAKA WA FEDHA 2025/2026.. BILIONI 40.2 KUTUMIKA
Video
January 30, 2025
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga, Mhe. Elias Ramadhani Masumbuko akiongoza Mkutano Maalum wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya ...
KUUNGANISHA UMEME MAENEO YA VIJIJI NI ELFU 27 – KAPINGA
Lango la Habari
January 30, 2025
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema uunganishaji...
WANAHARAKATI WA JINSIA WAOMBA MAZINGIRA WEZESHI KUPANDISHA UFAULU WA MTOTO WA KIKE
emmanuel mbatilo
January 30, 2025
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM WADAU wa semina za jinsia na maendeleo (GDSS) wameiomba Serikali kuongeza juhudi za kujenga mazingira wez...
ATCL YATANGAZA NAFASI 59 ZA AJIRA KWA WATANZANIA
emmanuel mbatilo
January 30, 2025
DAR ES SALAAM – Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imetangaza nafasi 59 za ajira kwa Watanzania wenye sifa, ikiwa ni sehemu ya juhudi za ku...
Wednesday, 29 January 2025
WATANZANIA WATAKIWA KUUENZI URITHI WA UTAMADUNI USIOSHIKIKA
Video
January 29, 2025
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Sumbawanga bw. Jastin Malisawa Na Mwandishi wetu , Sumbawanga, Rukwa Watanzania wameaswa kuuenzi urithi wa ...
RC SENDIGA AMUAPISHA SEMINDU, AELEZA VIPAUMBELE
Lango la Habari
January 29, 2025
Na Mary Margwe, Babati Mkuu wa mkoa wa Manyara Mh. Queen Cuthbert Sendiga amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mh. Michael John Semindu kuwa...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990