Saturday, 14 December 2024
Friday, 13 December 2024
MRADI WA PEPFAR/CDC AFYA HATUA WATOA PIKIPIKI 40 KUIMARISHA HUDUMA ZA VVU KATIKA MKOA WA KIGOMA
Video
December 13, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kamishna Mstaafu wa Jeshi la Zima Moto na Uokoaji, Mhe. Thobias Andengenye (katikati) akimkabidhi pikipiki mmoja wa...
Waziri Masauni Aahidi Kuongeza Kasi Katika Utekelezaji wa Katazo la Mifuko ya Plastiki na Usimamizi wa Biashara ya Kaboni
emmanuel mbatilo
December 13, 2024
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni ameahidi kusimamia utekelezaji wa katazo l...
TIA Yapongezwa kwa Kuwajengea Wanafunzi Uwezo wa Kujiajiri na Kuchangia Maendeleo ya Uchumi wa Taifa
emmanuel mbatilo
December 13, 2024
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA) imepongezwa kwa kuwa mstari wa mbele kupitia mpango wa vituo atamizi, u...
TAMASHA LA BIBI TITI LAFANYA KAZI NZURI YA KUENZI KAZI ZA SERIKALI- MHE. MONGELLA
emmanuel mbatilo
December 13, 2024
Na John Jayros Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mhe. John Mongella amesema Tamasha la Bibi Titi Mohamed siyo t...
WAZIRI JAFO ASHIRIKI KIKAO CHA MAWAZIRI CHA KISEKTA NCHINI ETHIOPIA
OKULY BLOG
December 13, 2024
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo,leo Disemba 12,2024 ameshiriki kikao cha Mawaziri cha kisekta chenye lengo la ku...
EWURA YAWAPIGA MSASA WANAHABARI
OKULY BLOG
December 13, 2024
Meneja Mawasiliano na Uhusiano EWURA, Bw.Titus Kaguo, akitoa mafunzo ya elimu ya udhibiti wa huduma za nishati na maj,uvunaji wa maji ya mvu...
WANANCHI KILUNGULE WAIOMBA SERIKALI KUDHIBITI MIKOPO CHECHEFU INAYOMKANDAMIZA MWANAMKE
emmanuel mbatilo
December 13, 2024
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM WANANCHI wa Kata ya Kilungule, Halmashauri ya Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, wameiomba serikali kud...
TRA Yazindua Boti ya Kisasa Kupambana na Magendo na Ukwepaji Kodi Ziwa Victoria
emmanuel mbatilo
December 13, 2024
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua Boti ya doria ambayo itatumika kupambana na magendo katika Ziwa Victoria na kukomesha vitendo vya...
WANAMICHEZO UDOM WAAGWA
OKULY BLOG
December 13, 2024
Manahodha wakikabidhiwa bendera ya Chuo, na Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakati wa halfa ya kuwaaga. ..... Kaimu Makamu Mkuu w...
EWURA YAHAMASISHA WADAU KUPELEKA HUDUMA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA VIJIJINI KAHAMA
OKULY BLOG
December 13, 2024
MENEJA EWURA Kanda ya Magharibi, Mhandisi. Walter Christopher, amewahamasisha wamiliki wa vituo vya mafuta kupeleka huduma ya nishati safi y...
Thursday, 12 December 2024
VINARA 16 WAPATIWA TUZO KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Video
December 12, 2024
Na Mwandishi wetu Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF), kwa kushirikiana na UNFPA limetoa tuzo kwa vin...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990