Friday 20 September 2024
Thursday 19 September 2024
DAWASA MTAA KWA MTAA YASHIKA KASI WAZO NA GOBA
Lango la Habari
September 19, 2024
DAWASA Mtaa kwa Mtaa ipo Wilaya ya Kiondoni katika kata za Goba na Wazo kuanzia tarehe 19 - 21 Septemba 2024. Huduma zinazopatikana katika ...
"RAIS SAMIA HANA DENI HUDUMA YA MAJI UBUNGO" - LUKUVI
Lango la Habari
September 19, 2024
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi ametembelea Mradi wa Maji Mshikamano uliopo Kata ya Mbezi, ...
SERIKALI KUJENGA VITUO VYA ZANA ZA KILIMO
Lango la Habari
September 19, 2024
Na Mwandishi wetu, Ruvuma SERIKALI imetangaza kujenga vituo vya zana za kilimo nchi nzima na kuanza kugawa ruzuku ya mbegu za mahindi. Pia ...
NG'UMBI AWATAKA WADAU KUONGEZA USHIRIKIANO KATIKA ELIMU
OKULY BLOG
September 19, 2024
Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Prof. Michael Ng’umbi akifafanua jambo wakati wa mahojiano maalum kuhusu hali ya elimu nchini kupit...
WAZIRI JAFO:MARUFUKU WATANZANIA KUCHANGANYA MAZAO
OKULY BLOG
September 19, 2024
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama wakitembelea na kukagua Ghala la ...
BASHE AWATAKA WAKULIMA NA WAFUGAJI KUISHI KWA AMANI
Lango la Habari
September 19, 2024
NIRC Songea Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewaasa wafugaji wa jamii ya Wasukuma wanaoishi katika kata ya Ndalila Wilayani Songea, kuhakik...
UJENZI WA BANDARI YA MBAMBABAY KUIFUNGUA RUVUMA KIUCHUMI
OKULY BLOG
September 19, 2024
Na Mwandishi Wetu MKUU wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed amesema utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Bandari ya kisasa ya Mbambabay...
REA YATUMIA ZAIDI YA BIL. 100 KUTEKELEZA MIRADI YA UMEME VIJIJINI KIGOMA
OKULY BLOG
September 19, 2024
🎈🎈Bodi ya Nishati Vijijini (REB) yakagua miradi ya REA Mkoa wa Kigoma 🎈🎈Wakandarasi watakaochelewa kumaliza miradi kwa wakati kuchukulia...
MWIGULU AAGIZA MAMBO 11 MKUTANO WA WATAALAM USTAWI WA JAMII
emmanuel mbatilo
September 19, 2024
Na WMJJWM, Kilimanjaro Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amewataka Wataalam wa Ustawi wa Jamii mchini kwa kushirikiana na wadau kuandaa n...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990