Thursday 5 September 2024
WAZIRI CHANA ATETA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA
emmanuel mbatilo
September 05, 2024
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Benki ya Dunia ukiongozwa...
MKALAMA YATANGAZA MKAKATI WA KUPAMBANA NA HOMA YA NYANI
Video
September 05, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe.Moses Machali amewataka Wakuu wa Idara, Watumishi wa Afya, Watendaji Kata na Vijiji pamoja na Maafisa Tar...
WANAWAKE VIONGOZI 37, WAPATIWA MAFUNZO YA USALAMA WA KIMTANDAO
emmanuel mbatilo
September 05, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa TAMCODE, Rose Ngunangwa akizungumza wakati Mafunzo ya Ulinzi wa Taarifa na Usalama wa Kimtandao kwa Wanawake Viongozi...
WANANCHI WA MIGANGA NA NKALAKALA WILAYANI MKALAMA WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Video
September 05, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Asia Messos
Wednesday 4 September 2024
MUONEKANO MPYA SERENGETI BEER
emmanuel mbatilo
September 04, 2024
Serengeti Breweries Limited imezindua muonekano mpya na maridadi kwa chapa zake pendwa, ikiwemo Serengeti Premium Lager, Serengeti Premium L...
WANA-DGSS WAJA NA MWAROBAINI WA TATIZO LA MMOMONYOKO WA MAADILI
emmanuel mbatilo
September 04, 2024
Ili kuimarisha harakati za uwekezaji katika mifumo ya usalama katika familia ni muhimu kukawepo na ushirikiano katika malezi ya watoto na kw...
AMREF TANZANIA YATOA MAFUNZO YA USIMAMIZI WA MIRADI, UFUATILIAJI NA TATHMINI KWA TAASISI ZISIZO ZA KISERIKALI
Video
September 04, 2024
Mkurugenzi Mkazi wa Amref Tanzania, Dkt. Florence Temu akizungumza kwenye Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali jijini Dodoma, S...
USAFI WA MAZINGIRA UWE SHIRIKISHI KWA JAMII
Lango la Habari
September 04, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kuimarisha usafi wa ma...
Tuesday 3 September 2024
RC CHALAMILA AKUTANA NA KAMISHNA MKUU WA TRA.
emmanuel mbatilo
September 03, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila Leo Septemba 3,2024 amekutana na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw.Yu...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990