Friday 16 August 2024
Thursday 15 August 2024
WMA YAELEZA FURSA ZA UWEKEZAJI KWA SEKTA BINAFSI
emmanuel mbatilo
August 15, 2024
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo, Alban Kihulla (kulia) akimpatia maelezo ya majukumu ya Kituo cha Uhakiki wa Vipimo kilichopo Misugu...
TANZANIA YAPATA SOKO LA KIMKAKATI LA ASALI UCHINA.
emmanuel mbatilo
August 15, 2024
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Tanzania na China leo zimesaini Itifaki ya kuuza Asali ya Tanzania nchini China huku Serikali ya Tanzania i...
WANAWAKE WASILAZIMISHWE VITI MAALUM - TGNP
Video
August 15, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Lilian Liundi Na Deogratius Koyanga, Dar es salaam MAKATIBU wa Vyama vya siasa ...
WATENDAJI VILABU VYA LIGI KUU WANUFAIKA NA ELIMU YA HIFADHI YA JAMII KUTOKA NSSF
Lango la Habari
August 15, 2024
*Karia avitaka vilabu vyote ligi kuu kuchangamkia fursa ya kujiwekea akiba *NSSF waeleza namna watakavyonufaika kupata mafao, matibabu Na ...
Wednesday 14 August 2024
WANAGDSS WAJENGEWA UELEWA KUHUSU KANUNI ZA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024
emmanuel mbatilo
August 14, 2024
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM WADAU wa Semina za Jinsia na Maendeleo wamejengewa uelewa kuhusu kanuni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa ...
TBS YAFUNGUA MASHINDANO YA TUZO ZA UBORA KITAIFA 2024
emmanuel mbatilo
August 14, 2024
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limefungua mashindano ya tuzo za ubora kitaifa awamu ya tano kwa mwaka...
KAYA 168,000 KUNUFAIKA NA UHAKIKA WA CHAKULA NA LISHE BORA
emmanuel mbatilo
August 14, 2024
Dodoma. Tanzania inatarajia kuanza utekelezaji wa mradi wa kuwawezesha wakulima wadogo unaolenga kuimarisha usalama na ustahimilivu wa atha...
Tuesday 13 August 2024
NAIBU WAZIRI NYONGO AITAKA KAMPUNI YA ALPHA CAPITAL KUONGEZA UBUNIFU
emmanuel mbatilo
August 13, 2024
NAIBU Waziri wa Nchi Ofii ya Rais Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo ameitaka Kampuni ya Alpha Capital na wadau wengine kuongeza ubunifu...
BETWAY KUTANGAZA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA NA MABINGWA WA UINGEREZA MANCHESTER CITY KWENYE SOKO LA HISA LA NEW YORK.
emmanuel mbatilo
August 13, 2024
KAMPUNI ya kubashiri Betway imetangaza ushirikiano mpya wa miaka mingi na mabingwa wa sasa wa Ligi Kuu, Manchester City.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990