Sunday 4 August 2024
Saturday 3 August 2024
SERIKALI YATENGA FEDHA KUNUNUA VITABU VYA MAKTABA NCHINI
emmanuel mbatilo
August 03, 2024
NA MWANDISHI WETU SERIKALI imetenga fedha katika Bodi ya Maktaba Tanzania kwa ajili ya ununuzi wa vitabu ili kuwezesha watanzania kupata vi...
MASHABIKI SIMBA MKALAMA WATOA MSAADA HOSPITALI YA WILAYA NA SHULE YA SEKONDARI NDUGUTI
Video
August 03, 2024
Mashabiki wa Simba Wilayani Mkalama leo Agosti 3,2024 wameadhimisha Simba Day kwa kutoa msaada katika hospitali ya Wilaya pamoja na shule...
WAHITIMU WA CHUO CHA SAYANSI ZA AFYA KOLANDOTO WAASWA KUTUMIA ELIMU YAO KWA MANUFAA YA JAMII
Video
August 03, 2024
Mkuu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto, Shinyanga, Mwl. Paschal Shiluka akizungumza kwenye mahafali ya 12. Na Elisha Shambiti - Misala...
TASAFIC YAPATA VIONGOZI WAPYA
emmanuel mbatilo
August 03, 2024
Jumuiya ya wanafunzi watanzania katika Jamhuri ya watu wa China (TASAFIC) imefanikiwa kupata viongozi wapya ambao wataweza kuiongoza Jumuiya...
KATIBU MKUU AFURAHISHWA NA MAANDALIZI YA TVLA NANENANE
emmanuel mbatilo
August 03, 2024
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Wakala ya Maabara ya Veterinari Ta...
Friday 2 August 2024
SGR YACHOCHEA ONGEZEKO LA WATALII HIFADHI ZA MASHARIKI, MAELFU WAFURIKA MIKUMI
emmanuel mbatilo
August 02, 2024
Na Zainab Ally-Mikumi. Ikiwa ni Siku moja baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan kuzindua Reli ya Mwe...
UWT WATAKIWA KUMFIKIA KILA MTU, KUONGEZA ‘JESHI LA MAMA’
emmanuel mbatilo
August 02, 2024
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewataka Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Jumuiya ya CCM, kuen...
MWONGOZO WA UFUATILIAJI NA TATHMINI WA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII WAIVA
Video
August 02, 2024
Na John Bera - DODOMA WIZARA ya Maliasili na Utalii kupitia Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini imeanza kuandaa Mwongozo wa Ufuatiliaji ...
Thursday 1 August 2024
SERIKALI- HAKUNA MWANANCHI ANAYEONDOLEWA NGORONGORO KWA AJILI YA UTALII BALI UHIFADHI
emmanuel mbatilo
August 01, 2024
NA MWANDISHI WETU Serikali imesema uhamisho unaoendelea wa wananchi waishio ndani ya Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro ni wa hiari baada ya wana...
RAIS SAMIA AMETIMIZA NDOTO ZA MARAIS WOTE WALIOPITA TANGU TANZANIA IPATE UHURU
Video
August 01, 2024
*Rais Samia aweka historia kubwa uzinduzi wa SGR * Samia anajenga kilomita 1,800 za reli ya SGR, huku Awamu ya 5 ikianzisha ujenzi wa ...
Wednesday 31 July 2024
NCHIMBI AMALIZIA ‘KIPORO’ WAPINZANI MCHINGA
emmanuel mbatilo
July 31, 2024
-Awapokea madiwani pekee wa CUF na ACT na wenzao mamia walioamua kujiunga CCM
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990