Thursday 18 July 2024
Wednesday 17 July 2024
WANAHARAKATI WASHAURI ELIMU ITOLEWE KWENYE USHIRIKI WA KUTOA MAONI KATIKA NGAZI ZA UAMUZI
emmanuel mbatilo
July 17, 2024
WADAU wa Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS),wameshauri utoaji wa elimu kwenye jamii kuhusiana na umuhimu wa ushiriki wa kila mtu kwenye k...
DCEA YAMKAMATA MTUHUMIWA WA KUTENGENEZA KEMIKALI BASHIRIFU NA DAWA TIBA ZENYE ASILI YA KULEVYA
emmanuel mbatilo
July 17, 2024
MAMLAKA Ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA,) inamshikilia Shaban Musa Adam (54,) mkazi wa Dar es Salaam kwa tuhuma za kuteng...
WAZIRI JAFO APONGEZA UTENDAJI KAZI WA WAKALA WA VIPIMO
emmanuel mbatilo
July 17, 2024
· Ataka Taasisi nyingine ziige mfano wake Na Veronica Simba – WMA Waziri wa Viwanda na Biashara, Mheshimiwa Dkt. Selemani Jafo, amepo...
KAMPUNI YA SHERIA YA KIGENI YADAIWA KUJINUFAISHA KUPITIA MADAI YA KUWATETEA WAHANGA WA UKIUKWAJI WA HAKI ZA KIBINADAMU MGODI WA NORTH MARA
Video
July 17, 2024
Kampuni ya sheria ya kigeni imedaiwa kujinufaisha kupitia madai ya kuwatetea wahanga wa ukiukwaji wa haki za kibinadamu Mgodi wa North Mara ...
RABIA: NAFASI YA TANZANIA KIMATAIFA IMEKUA KWA KASI KUBWA
emmanuel mbatilo
July 17, 2024
Katibu wa NEC Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndg. Rabia Abdalla Hamid, ameleeza kuwa katika kipindi cha uongozi wa nchi...
Tuesday 16 July 2024
RHMT’s & CHMT’s LINDI WATAKIWA KUSHIRIKIANA
emmanuel mbatilo
July 16, 2024
Kaimu Katibu Tawala wa mkoa wa LIndi Natalis Linuma amezitaka Timu za Usimamizi wa Shughuli za Afya za Halmashauri (CHMT’s) na mkoa (RHM) za...
RAIS SAMIA AMETOA MILIONI 105 KUKARABATI SHULE YA MVINZA NA MILIONI 365.5 ZILIZOJENGA SHULE MPYA - Mhe. Katimba
emmanuel mbatilo
July 16, 2024
Na. James K. Mwanamyoto OR-TAMISEMI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Mhe. Zainab Katimba amesema, Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Ha...
MAUNGANISHO HUDUMA MAJISAFI YASHIKA KASI DAR
Lango la Habari
July 16, 2024
Wateja mbalimbali wanaohudumiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) wameonyesha furaha yao baada ya kunganis...
MAMIA WAJITOKEZA KUCHUKUA VIFAA MAUNGANISHO YA MAJISAFI DAR, PWANI
Lango la Habari
July 16, 2024
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeendesha zoezi la ugawaji wa vifaa vya maunganisho mapya ya huduma ya maj...
ATCL NA HOSPITALI YA KOKILABEN WATOA OFA YA UPIMAJI AFYA INDIA KWA GHARAMA NAFUU
emmanuel mbatilo
July 16, 2024
KAMPUNI ya ndege ya Tanzania (ATCL), imeanzisha kampeni ya miezi mitatu ya “Afya yangu maisha yangu” ikiwa na lengo la kuhamasisha wananchi...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990