Monday 8 July 2024
Sunday 7 July 2024
DMI KUSAJILI WANAFUNZI BURE PASIPO MALIPO
emmanuel mbatilo
July 07, 2024
Chuo Cha Bahari Dar ES Salaam (DMI) kinaendelea na huduma ya usajili wa wanafunzi katika viwanja vya Sabasaba Dar es Salaam bila malipo.
MKUU WA WILAYA YA MTWARA ATEMBELEA VISIMA VYA GESI NTORYA 1 NA 2, KATA YA NANGURUWE
Video
July 07, 2024
Mkuu wa Wilaya akiwa katika ziara kisi ma cha Ntorya-2 , Kata ya Nanguruwe Meneja Mradi wa gesi asilia-Ntorya Patrick Kabwe akifafanua jam...
BANDA LA TPA SASA LAENDELEA KUWA KIVUTIO KWA WANANCHI
emmanuel mbatilo
July 07, 2024
Banda la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) limeendelea kuwa kivutio kwa Wananchi mbalimbali wanaotembelea Maonesho ya 48 ya Bia...
WAZIRI MAKAMBA AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI 15 WA EAC
emmanuel mbatilo
July 07, 2024
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Makamba (Mb) ameongoza Mkutano wa faragha wa Mawaziri wa Mambo ya Nje...
TPDC KUANZA UZALISHAJI WA GESI ASILIA, VISIMA VYA GESI NTORYA
Video
July 07, 2024
Muonekano wa Kisima cha gesi asilia Ntorya-2 kilichopo katika kata ya Nanguruwe, mkoani Mtwara Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPD...
LIGI YA BUTONDO KISHAPU SHAGY CUP YAHITIMISHWA KWA KISHINDO! BODABODA FC YALAMBA MIL. 1.5
Video
July 07, 2024
Kiungo Madia Madoshi aliyeiletea ushindi Bodaboda Fc wa goli 1-0 dhidi ya Fama FC Ligi ya Butondo Shagi cup iliyomalizika Julai 6,2024 ...
Saturday 6 July 2024
DKT. JAFO AAHIDI USHIRIKIANO KWA WAFANYABIASHARA
emmanuel mbatilo
July 06, 2024
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo (Mb) ameihakikishia sekta binafsi hususani Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Vi...
WASANII WA TANZANIA WAKUTANA NA STAR WA KOREAN DRAMA ‘Son Ye-jin
emmanuel mbatilo
July 06, 2024
BALOZI wa Tanzania nchini Korea, Togolani Edriss Mavura ameambatana na wasanii aliowaalika kufanya ziara nchini Korea kusini na kukutana na ...
BENKI YA CRDB YATUMIA MAADHIMISHO YA SIKU YA USHIRIKA DUNIANI 'SUD' KUONESHA FURSA ZA UWEKEZAJI
Video
July 06, 2024
Benki ya CRDB imeshiriki maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani (SUD) duniani yaliyofanyika kitaifa mkoani Tabora katika Viwanja vya Ipul...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990