Saturday, 29 June 2024
Friday, 28 June 2024
SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA NSSF
Video
June 28, 2024
Na MWANDISHI WETU, Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Bw....
RC MTANDA AFUNGUA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA...DCEA & THPS WATOA ELIMU KWA WANANCHI
Video
June 28, 2024
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda (kulia) akitembelea Banda la Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) wakati a...
WADAU WATAKIWA KUWEKEZA NGUVU YA PAMOJA MAPAMBANO DHIDI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA ZANZIBAR
Video
June 28, 2024
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Bi Harusi Sadi Suleiman, akimkabidhi cheti cha shukrani Rukia Salim Afisa Kinga masuala ya...
AMERICARES YATOA MATIBABU BILA MALIPO KWA WAGONJWA WA FISTULA MKOANI SHINYANGA
Video
June 28, 2024
Na Mwandishi wetu - Malunde 1 blog Shirika la Americares limeendesha zoezi la utoaji wa huduma ya matibabu ya bila malipo na kufanya op...
MKANDARASI ATAKIWA KUHARAKISHA UTEKELEZAJI MRADI WA UMEME WA JUA KISHAPU
Lango la Habari
June 28, 2024
Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu Wizara ya Nishati, Mhandisi Innocent Luoga ameridhishwa na hatua mbalimbali za maendeleo katika upatik...
TBS KANDA YA KUSINI YATEKETA TANI 3.5 ZA BIDHAA HAFIFU
emmanuel mbatilo
June 28, 2024
Na Mwandishi Wetu, Mtwara SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Kusini inayojumulisha Mikoa ya Lindi Mtwara na Ruvuma limetekeleza tani...
Video Mpya : TOTO KHAN x SLYVEPO - POMBE
Video
June 28, 2024
Hii hapa kazi mpya ya Msanii Toto Khan akimshirikisha Slyvepo inaitwa Pombe, Video hii imeongozwa na Director Dave Skerah, Producer Scardee
Thursday, 27 June 2024
SERIKALI, WADAU WAASWA KUENEZA ELIMU KATIKA JAMII KUHUSU HUDUMA ZA TIBA KWA WARAIBU WA DAWA ZA KULEVYA
Video
June 27, 2024
Mmoja wa wanufaika wa huduma za Tiba kwa Waraibu wa Dawa za Kulevya bi. Mariam Michael Semwaza Mmoja wa wanufaika wa huduma za Tiba kwa Wa...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990