Friday 21 June 2024
Thursday 20 June 2024
BODI YA TANESCO YAFURAHISHWA NA MAENDELEO YA MRADI WA JNHPP
Lango la Habari
June 20, 2024
Na Charles Kombe, Rufiji Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) imefurahishwa na kupongeza wasimamizi wa mradi juu ya ha...
BRELA- ADA YA USAJILI WA KAMPUNI ZINAANZIA SHILINGI ELFU 20 HADI MILIONI 50
emmanuel mbatilo
June 20, 2024
WAKALA wa wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA) wamezitaja ada za usajili wa kampuni mpya ambapo gharama zake zinaanzia Sh.20,000, Sh.1000...
AJALI YA LORI KUPINDUKA YAUA WATU 15 NA KUJERUHI 60
Lango la Habari
June 20, 2024
Watu 15 wamethibitishwa kufariki kufuatia ajali iliyohusisha lori kwenye barabara ya Mityanga-Bukuya nchini Uganda. Kwa mujibu wa taarifa y...
TVLA YAANZA MIKUTANO NA VYAMA VYA MIFUGO KUPATA VYAKULA BORA
emmanuel mbatilo
June 20, 2024
Na. Edward Kondela - Wizara ya Mifugo na Uvuvi Serikali imeanza kufanya kazi kwa karibu na vyama vya mifugo nchini kupitia vikao mbalimbali ...
BRELA YAWATAKA WAFANYABIASHARA KUWEKA ULINZI MAJINA YAO YA BIASHARA KWA KUYASAJILI
emmanuel mbatilo
June 20, 2024
NA EMMANUEL MBATILO, MOROGORO WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wamewataka wafanyabiashara kusajili majina ya biashara zao ili...
WANA-GDSS WAJENGEWA UWEZO JUU YA ULINZI WA MTOTO KISHERIA, USAWA WA KIJINSIA
emmanuel mbatilo
June 20, 2024
Na mwandishi wetu, Dar es Salaam Imeelezwa kuwa, Serikali kuu hutoa majukumu kwa serikali za mitaa katika kulinda na kutetea maslahi ya mtot...
Wednesday 19 June 2024
THPS NA U.S. CDC ZAKABIDHI SAMANI ZA HOSPITALI SHINYANGA KUBORESHA HUDUMA ZA KINGA
Video
June 19, 2024
Shirika la Tanzania Health Promotion Support (THPS), kupitia Mradi wa Afya Hatua unaofadhiliwa na Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani w...
WATU TISA AKIWEMO BABA MZAZI WAKAMATWA TUHUMA MAUAJI MTOTO MWENYE UALBINO
Lango la Habari
June 19, 2024
Na Jeshi la Polisi
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990