Friday, 14 June 2024
BENKI YA AKIBA YATOA ELIMU YA FEDHA KWA WADAU
Lango la Habari
June 14, 2024
Na Mwandishi wetu Benki ya Akiba imesema itaendelea kuunga mkono serikali kwa kutoa elimu ya fedha huku ikiboresha huduma zake nchi nzima il...
NAIBU WAZIRI MNYETI ATEMBELEA BANDA LA TVLA KWENYE MAONESHO MNADA WA MIFUGO 2024
emmanuel mbatilo
June 14, 2024
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexandar Mnyeti (wa pili kutoka kulia) akipata elimu kuhusiana na matumizi sahihi ya Chanjo za Mifugo ...
BASHUNGWA CUP 2024 KUANZA KURINDIMA MWEZI JULAI
emmanuel mbatilo
June 14, 2024
Na Mathias Canal, Karagwe-Kagera Mashindano ya mpira wa miguu yaliyopewa jina la "BASHUNGWA CUP 2024" yataanza kurindima mwanzoni ...
MRADI WA CDC/PEPFAR AFYA HATUA WAIMARISHA HUDUMA ZA KINGA NA TIBA ILI KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA VVU MKOANI KIGOMA
Video
June 14, 2024
Goleth Ezekiel, Mama Kinara (Mama anayejitolea ambaye yuko tayari kusaidia ufuatiliaji wa karibu wa akina mama wajawazito na wanaonyonyesh...
SERIKALI KUIMARISHA USTAWI WA WATU WENYE UALBINO
emmanuel mbatilo
June 14, 2024
Na; Mwandishi Wetu – Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais, Dkt. Sa...
BODI YA REA YAZURU KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIFAA VYA UMEME
Lango la Habari
June 14, 2024
Jenipher Jamal – REA Bodi ya Nishati Vijijini (REB) ikiambatana na Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametembelea kiwanda cha ...
TGNP, WADAU WA MAENDELEO WAICHAMBUA BAJETI YA SERIKALI
emmanuel mbatilo
June 14, 2024
Na mwandishi wetu, Dar es Salaam Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa kutambua umuhimu wa ushiriki wa wananchi katika michakato ya bajeti n...
TRRH YAANZA HUDUMA ZA USAFISHAJI DAMU (DIALYSIS)
Lango la Habari
June 14, 2024
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke(TRRH) imeanza rasmi kutoa huduma za usafishaji damu (dialysis) leo tarehe 14 Juni 2024, ikiwa ni mara ya k...
DKT. BITEKO ATOA MAAGIZO MAZITO UZINDUZI TAARIFA ZA UTENDAJI KATIKA SEKTA YA NISHATI
Lango la Habari
June 14, 2024
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua taarifa za utendaji katika Sekta ndogo ya Umeme, Gesi Asilia na Mafu...
MAKAMU WA RAIS AKAGUA MRADI WA MAJI WA SAME - MWANGA - KOROGWE
Lango la Habari
June 14, 2024
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewapongeza viongozi wa Wizara ya Maji kwa kusimamia na kufanikis...
MILIONI 790 ZA DHARURA KUREJESHA MAWASILIANO YA MIUNDOMBINU TABORA
Lango la Habari
June 14, 2024
TARURA Mkoa wa Tabora imepokea fedha za dharura kiasi cha shilingi milioni 790 kwaajili ya kurejesha mawasiliano ya miundombinu ambayo yam...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990