Sunday, 26 May 2024
Saturday, 25 May 2024
LALJI FOUNDATION WAENDESHA KAMBI YA MAALUM YA MATIBABU YA AFYA BURE KASULU
emmanuel mbatilo
May 25, 2024
Taasisi isiyo ya kiserikali ya LALJI FOUNDATION kwa kushirikiana na GAME FRONTIERS OF TZ, KIGOMA HILLTOP HOTEL na Hospitali ya Wilaya ya Ka...
Mr. MANGURUWE AMWAGA TIKETI BURE ZA KWA MASHABIKI SIMBA SC ARUSHA.. AMWITA MANDONGA NA WENZAKE MASHINDANO YA KUBEBA NGURUWE!
Video
May 25, 2024
Mkurugenzi wa Kampuni ya Kijiji cha Nguruwe kilichopo Zamahero wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma Simon Mnkondya maarufu Mr Manguruwe amekuja na...
MAMIA YA WASHIRIKI KATIKA MBIO ZA RUN FOR BINTI
emmanuel mbatilo
May 25, 2024
Mei 25, 2024, Dar es Salaam: Washiriki zaidi ya 700 walishiriki katika mbio za Run for Binti zilizofanyika katika Viwanja vya Oysterbay, iki...
KINONDONI WAFUNGULIWA DIRISHA LA MAUNGANISHO BURE HUDUMA YA MAJITAKA
Lango la Habari
May 25, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saadi Mtambule amewataka wananchi wa Wilaya ya Kinondoni hususani Kata za Kawe, Kunduchi, Wazo na Mbezi ...
RC MACHA AFANYA ZIARA KIWANDA CHA UZALISHAJI WA VIPULI VYA MITAMBO YA VIWANDANI 'EACS'
Video
May 25, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha ametembelea kiwanda cha Kisasa cha EACS kinachozalisha vipuli vya Mitambo aina ya conveyor...
MR. MANGURUWE GUMZO ARUSHA, AWAPA SURPRISE WAUZA MATUNDA
Video
May 25, 2024
Mr. Manguruwe akinunua matunda ya akina mama Arusha Mr. Manguruwe ambaye ni mwanzilishi wa mradi mkubwa wa ufugaji wa nguruwe Mkoani Dodoma ...
Friday, 24 May 2024
KATAMBI AKABIDHI MAGARI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA SHINYANGA
Video
May 24, 2024
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Patrobas Paschal Kat...
SOMO LA USAJILI LA WAMILIKI WA GEREJI LATOLEWA NA TIRA
emmanuel mbatilo
May 24, 2024
Kamishna wa Bima Dkt.Baghayo Saqware amewataka wamiliki wa gereji za kutengeneza magari, kujisajili katika Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanz...
TRA YAENDELEA KUTOA ELIMU YA KODI MLANGO KWA MLANGO KWA WAFANYABIASHARA TANGA
emmanuel mbatilo
May 24, 2024
Leo tarehe 24.05.2024 Mh. Mkuu wa Mkoa wa Tanga Dkt Batilda Buriani amewataka wafanyabiashara kutoa ushirikiano wa kutosha kwa timu ya ueli...
WAZIRI KAIRUKI AMPONGEZA RAIS SAMIA KUTOA MAGARI KWA KANDA ZOTE ZA TFS NCHINI, KUWA KINARA WA NISHATI SAFI AFRIKA
emmanuel mbatilo
May 24, 2024
Na John Mapepele Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe Angellah Kairuki amempongeza Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Sul...
TANROADS KUWEKA KAMBI BARABARA YA KIRANJERANJE-RUANGWA KUREJESHA MAWASILIANO
emmanuel mbatilo
May 24, 2024
Huenda Adha ya usafiri na usafirishaji bidhaa inayowakabili wananchi wanaotumia barabara ya Kiranjeranje kwenda Ruangwa ikafikia tamati baad...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990