Friday, 5 April 2024
Thursday, 4 April 2024
ELIMU MATUMIZI DIRA ZA MALIPO KABLA YATOLEWA POLISI OYSTERBAY
Lango la Habari
April 04, 2024
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendesha zoezi la kutoa elimu katika makazi ya watumishi wa Jeshi la Poli...
ZAMBIA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA NCHI JIRANI KWENYE USAFIRISHAJI WA SHEHENA
emmanuel mbatilo
April 04, 2024
Serikali ya Jamhuri ya Zambia imeeleza nia yake ya kuendeleza ushirikiano nchi Jirani katika Usafirishaji wa Shehena kutoka na kuingia nchin...
WAZIRI MKUU ATOA KAULI KUHUSU USIMAMIZI WA USALAMA NA AFYA NCHINI
emmanuel mbatilo
April 04, 2024
Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali inachukua kila jitihada kuhakikisha ...
DCEA YAKAMATA 4.623 KG YA AINA MPYA YA DAWA YA KULEVYA AINA YA MDPV
emmanuel mbatilo
April 04, 2024
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imefanikiwa kukamata Kilogramu 4.623 za aina...
WATENDAJI WAZEMBE TANESCO KUCHUKULIWA HATUA KILA MWEZI
Lango la Habari
April 04, 2024
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza ripoti ya taarifa kila wiki ya Kituo cha Huduma kwa Wateja ya Shirika ...
Wednesday, 3 April 2024
WANAGDSS WAIOMBA SERIKALI KUWEKA VIPAUMBELE VINAVYOIGUSA JAMII MOJA KWA MOJA KATIKA UANDAAJI WA BAJETI
emmanuel mbatilo
April 03, 2024
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM WADAU wa Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS), wameiomba Serikali katika mchakato wa uandaaji wa bajeti k...
Tanzania Yasisitiza Uhuru wa Biashara na Usalama wa Nchi
emmanuel mbatilo
April 03, 2024
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema Tanzania inaunga mkono harakati za kuwezesha usafirishaji wa bidh...
Tuesday, 2 April 2024
Serikali kuendelea kuwalea Wazalishaji, Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Ndani
emmanuel mbatilo
April 02, 2024
Serikali itaendelea kuwalea wazalishaji wawekezaji na wazalishaji wa ndani ya nchi ili waweze kukuza mitaji yao na kuchangia katika maendele...
DKT. MOLLEL AKUTANA NA UONGOZI WA MCT KUJADILI UBORESHAJI UTENDAJI KAZI
emmanuel mbatilo
April 02, 2024
Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel leo Aprili 2, 2024 amekutana na uongozi wa Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) na kujadili namna nzu...
Mashindano ya Gofu kumuenzi Lina kuanza kurindima tena Aprili 11 Morogoro
emmanuel mbatilo
April 02, 2024
Baada ya Awamu ya kwanza ya Mashindano ya Gofu yaliyofanyika Moshi kumuenzi mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Wanawake ya gofu Lina ...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990