Tuesday 19 March 2024
SERIKALI YATAKIWA KUHARAKISHA UPATIKANAJI WA FEDHA ZA MIRADI INAYOSIMAMIWA NA TBA
emmanuel mbatilo
March 19, 2024
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji ya Mitaji ya Umma (PIC) imeitaka serikali kuakikisha fedha zinazotakiwa kutekeleza miradi mbalimbali...
WAKALA WA VIPIMO YAANZA KUHAKIKI MITA ZA UMEME
emmanuel mbatilo
March 19, 2024
Katika kuendelea kuhakikisha kunakuwa na usawa kwenye matumizi sahihi ya vipimo kama inavyoelekeza Sheria ya Vipimo Sura Na. 340 taasisi ya ...
RAIS DKT. SAMIA APONGEZWA KUENDELEZA MIRADI YA KIMKAKATI
Video
March 19, 2024
NA MWANDISHI WETU MWANZA. Rais Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa juhudi kubwa anazozionesha za kuruhusu kuendelea ujenzi wa mir...
KAMATI YA BUNGE YA PAC YATEMBELEA UJENZI WA KIWANDA CHA MABOMBA MRADI WA EACOP
Video
March 19, 2024
Mwakilishi wa Msimamizi wa ujenzi wa kiwanda kitakachokuwa kikiweka mifumo ya upashaji joto na plastiki itakayozuia upotevu wa joto kwenye ...
Monday 18 March 2024
GETHSEMANE GROUP KINONDONI(GGK) WAACHIA VIDEO YA BWANA WASTAHILI
emmanuel mbatilo
March 18, 2024
Na Mwandishi Wetu WAIMBAJI maarufu nchini kutoka Gethsemane Group Kinondoni (GGK)SDA wameachia video ya wimbo wao mpya unaoitwa Bwana Wastah...
WAUMINI KANISA BAPTIST KINONDONI WAANDAA IBADA MAALUM KULIOMBEA TAIFA
emmanuel mbatilo
March 18, 2024
WAUMINI wa Kanisa la Baptist Kinondoni mkoani Dar es Salaam wakiongozwa na Mchungaji wa kanisa hilo Samweli Kabonaki wamefanya ibada maalu...
‘’HATUJARIDHIKA NA UREJESHEJA FEDHA ZA MIKOPO YA KKK’’
emmanuel mbatilo
March 18, 2024
Na Munir Shemweta, CHALINZE Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii imesema kuwa, haijaridhishwa na urejeshaji mikopo ya fedh...
DKT. NCHIMBI ASHIRIKI MKUTANO WA 11 WA MAKATIBU WAKUU WA VYAMA RAFIKI VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA ( FLMS)
emmanuel mbatilo
March 18, 2024
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akizungumza wakati wa kutoa salaam za CCM za mshikamano kwenye Mk...
LAAC YASHAURI USAJILI WA HOSPITALI YA WILAYA BUKOBA UKAMILIKE
emmanuel mbatilo
March 18, 2024
Angela Msimbira, KAGERA Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeitaka Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kuka...
BARRICK YAFUNGUA CHUO KATIKA MGODI WA BUZWAGI ULIOFUNGWA
Video
March 18, 2024
Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akizungumza wakati wa uzinduzi wa Chuo cha mafunzo cha Barrick chenye hadhi ya kimataif...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990