Monday 18 March 2024
Sunday 17 March 2024
WANANCHI ELFU 9,659 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI MALUNGU NYASA
emmanuel mbatilo
March 17, 2024
NAIBU Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi amemuagiza Meneja wa RUWASA Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Rebman Ganshonga, kuhakikisha anapel...
DK. NCHIMBI AWASILI ZIMBABWE MKUTANO WA VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA
emmanuel mbatilo
March 17, 2024
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, akiambatana na baadhi ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM ya CCM y...
HATI 8,325 ZATOLEWA KWA WANANCHI KUPITIA KLINIK YA ARDHI DAR ES SALAAM
emmanuel mbatilo
March 17, 2024
Na Munir Shemweta, WANMM Jumla ya hati 8,325 zimesajliwa na kutolewa kwa wananchi waliofika kupata huduma katika Klinik za Ardhi mkoa wa Dar...
Saturday 16 March 2024
WANATEMEKE WAJIPANGA KUHUISHA FUKWE KWA AJILI YA KUFURAHI
Video
March 16, 2024
Ni sehemu Maarufu inayojulikana kwa jina la Kijiji cha Wavuvi eneo la Kurasini wilayani Temeke ambapo kuna ufukwe mzuri wa bahari ...
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UJENZI BANDARI YA MWANZA KASKAZINI
emmanuel mbatilo
March 16, 2024
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa ujenzi, upanuzi na uboreshaji wa Bandari ya Mwanza Kaskazin...
DKT. IMMACULATE- AFRIKA LAZIMA TUWE KINARA KUHAKIKISHA MAZINGIRA YETU YAKO SAFI
emmanuel mbatilo
March 16, 2024
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM BARAZA la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC) kwa kushirikiana na Ubalozi wa Kenya Wakala wa hud...
MATEMBEZI NA UZINDUZI WIKI YA MAJI DODOMA
emmanuel mbatilo
March 16, 2024
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu,Wizara ya Maji (wa nne kushoto) akikata utepe kuzindua Wiki ya Maji,akimwakilisha Waziri wa Maji,Mh...
WADAU WA SANAA YA UBUNIFU NA UTAMADUNI WATAKIWA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUNADI KAZI ZAO
Video
March 16, 2024
Na Rose Ngunangwa, Bagamoyo Wadau wa Sanaa ya Ubunifu na Utamaduni wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kwa kunadi bidhaa zao ili kuwaf...
U.S. CDC NA THPS WAKABIDHI VIFAA NA JENGO JIPYA LA TIBA NA MATUNZO KWA WAVIU USHETU
Video
March 16, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu Bi. Hadija Mohamed Kabojela (wa pili kulia) akisoma maandishi baada ya wakati wa ha...
Friday 15 March 2024
.KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA TET KWA UTENDAJI KAZI WAKE
emmanuel mbatilo
March 15, 2024
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeipongeza Taasisi ya Elimu (TET) kwa utendaji kazi uliotukuka, hasa katika eneo ...
DKT. NCHIMBI AKUTANA NA BALOZI WA CHINA MHE. CHEN MINGJIAN
emmanuel mbatilo
March 15, 2024
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amekutana na Balozi wa China nchini, Mhe. Chen Mingjian, leo Ijum...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990