PURA WAINGIA MAKUBALIANO NA DMI KUTOA MAFUNZO YA USALAMA KWENYE UCHIMBAJI WA GESI NA MAFUTA BAHARINI
emmanuel mbatilo
March 13, 2024
MAMLAKA ya kudhibiti mkondo wa juu wa Petroli (PURA ) wamesaini hati ya makubaliano na Chuo cha bahari Dar es salaam (DMI) kwaajili ya kutoa...