Monday 8 January 2024
Sunday 7 January 2024
ANGALIA HAPA MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA NNE NA KIDATO CHA PILI 2023
Video
January 07, 2024
MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2023 NA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2023 YAMETANGAZWA. MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA W...
Wimbo Mpya : NYUMBU MJANJA Ft. KANETO - MIMI NA WEWE
Video
January 07, 2024
Msanii Polisi maarufu Nyumbu Mjanja anakualika kusikiliza wimbo wake Mpya unaitwa Mimi Na Wewe! Katika wimbo huu unaohusu Usalama Barabara...
WAZIRI JAFO AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA HOTELI ZANZIBAR
emmanuel mbatilo
January 07, 2024
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt Selemani Jafo amesema Wananchi wa Zanzibar wanastahili kujivunia ma...
WANANCHI, JASIRIAMALI IRAMBA WAPEWA BURE MITUNGI YA GESI YA ORYX 700 PAMOJA NA MAJIKO YAKE
emmanuel mbatilo
January 07, 2024
Na Mwandishi Wetu, Iramba KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania imegawa bure mitungi ya gesi 700 yakiwa na majiko yake yenye jumla ya thamani ya Sh.m...
Saturday 6 January 2024
KATIBU MKUU WIZARA YA MAJI AHIMIZA USIMAMIZI MADHUBUTI KATIKA MIRADI
Lango la Habari
January 06, 2024
Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Prof. Jamal Katundu ametembelea Mradi wa maji Kigamboni uliotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingi...
TUYAENZI NA KUYALINDA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR - DKT. BITEKO
Lango la Habari
January 06, 2024
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa Wananchi kuendelea kuyaenzi, kuyalinda na kuyaishi kwa dhamira...
Makamu wa Rais apokea taarifa ya uandishi wa kitabu cha 'Miaka 60 ya Ofisi ya Makamu wa Rais'
emmanuel mbatilo
January 06, 2024
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akipokea taarifa ya uandishi wa kitabu cha ‘Miaka 60 ya Ofisi ya M...
Friday 5 January 2024
DC MKUDE : NI JUKUMU LETU KUHAKIKISHA MIRADI YA MAJI INALINDWA
Video
January 05, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa wadau wa maji Wilaya ya Kishap...
PINDA AKAGUA ENEO WATAKAOHAMISHIWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO HANANG
emmanuel mbatilo
January 05, 2024
Na Munir Shemweta, WANMM MANYARA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda ametembelea na kukagua eneo limepim...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990