Monday 23 October 2023
Sunday 22 October 2023
TBS YAWATAKA WAFANYABIASHARA KUTHIBITISHA UBORA BIDHAA ZAO
emmanuel mbatilo
October 22, 2023
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wafanyabiashara nchini kuthibitishwa ubora wa bidhaa zao hatua itakayowawezesha kukua kibiashar...
BARRICK BULYANHULU YAWEZESHA MAFUNZO YA KANUNI ZA WAJIBU WA WAMILIKI WA LESENI ZA MADINI MSALALA NA NYANG’HWALE
Video
October 22, 2023
Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale, Grace Kingalame akifunga mafunzo hayo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Msalala, Khamis Katimba akiongea wakati wa...
WAKILI AIPIGA JEKI SEKONDARI YA MUHWANA, IRINGA VIJIJINI
emmanuel mbatilo
October 22, 2023
Mwandishi Wetu, Iringa SHULE ya Sekondari ya Muhwana iliyoko katika kijiji cha Magulilwa wilayani Iringa, imepata msaada wa kompyuta na mash...
MAKONDA ATEULIWA KUWA KATIBU WA NEC, ITIKADI NA UENEZI CCM
Video
October 22, 2023
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Paul Makonda kuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akichukua nafasi ya Sophia Mjema aliyeteuliwa ...
WANANCHI WANAOHAMA NGORONGORO WAMWAGIA SIFA RAIS SAMIA
emmanuel mbatilo
October 22, 2023
Na John Mapepele Wakaazi wa Hifadhi ya Ngorongoro ambao ni kaya 11 na wananchi 43 pamoja na mifugo 36 walioamua kuhama kwa hiari kupisha uhi...
Saturday 21 October 2023
ROSTAM AZIZ KUZALISHA UMEME ZAMBIA
Video
October 21, 2023
Rostam Aziz akiteta jambo na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema al Maarufu kwa jina la HH na kufikia makubaliano ya kuwekeza katika kuzalish...
DKT.HASHIL- DKT SAMIA AMEBORESHA MAZINGIRA MAZURI YA BIASHARA NCHINI
emmanuel mbatilo
October 21, 2023
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM KATIBU Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt Hashil Abdallah amesema Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan ...
WASHINDI WA CHEMSHA BONGO NA SALOME WALAMBA ZAWADI TENA
Video
October 21, 2023
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Shinyanga Salome Makamba. Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sa...
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990