Breaking

Tuesday, 22 April 2025

MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI EAC WAANZA JIJINI ARUSHA

Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki umeanza leo Aprili 22, 2025 jijini Arusha ambako ndiyo Makao Makuu ya Jumuiya hiyo.

Mkutano huo utakaofanyika kwa ngazi ya Wataalamu Aprili 22 na 23, 2025; ngazi ya Makatibu Wakuu Aprili 24, 2025 na ngazi ya Mawaziri Aprili 25, 2025 utajadili masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na mapendekezo ya mpango wa bajeti ya jumuiya hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

Ujumbe wa Tanzania anashiriki kikamilifu kwenye mkutano huo.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages