Breaking

Tuesday, 14 January 2025

WAZIRI MKUU AWASILI MSUMBIJI KUMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA UAPISHO WA RAIS CHAPO


Mhe. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) awasili Jijini Maputo kumwakilisha Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan  kwenye Uapisho wa Rais Mteule wa Msumbiji, Mhe. Daniel Chapo utakaofanyika kesho tarehe 15 Januari, 2025.






 

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages