Breaking

Wednesday, 9 October 2024

ZUHURA YUNUS AKAGUA MAANDALIZI YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU

  

Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus (kushoto), na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Saidi Mtanda (kulia), wakikagua maandalizi ya maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge yatakayofanyika Oktoba 14 kwenye uwanja wa CCM Kirumba.


Picha: Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages