Breaking

Thursday, 31 October 2024

TBS Yatoa Elimu kwa Wananchi na Wajasiriamali katika Maonesho ya Mwanakatavi Mpanda

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu ya masuala ya udhibiti ubora kwa wananchi na wajasiriamali katika Maonesho ya tatu ya Wiki ya Mwanakatavi yanayoendelea katika viwanja vya Azimio Mpanda Mkoani Katavi.
Afisa udhibiti ubora Kanda ya Magharibi (TBS) Bw. Hassan Hassan, akitoa elimu ya masuala ya udhibiti ubora kwa wananchi na wajasiriamali waliotembelea banda la TBS kwenye Maonesho ya tatu ya Wiki ya Mwanakatavi yanayoendelea katika viwanja vya Azimio Mpanda, Mkoani Katavi.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages