Breaking

Friday 6 September 2024

MABORESHO MIUNDOMBINU YA MAJI CHALINZE



Mamlaka ya majisafi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuptia mkoa wa kihuduma DAWASA Chalinze imefanya maboresho katika miundombinu ya maji eneo la Kwa Liemba Msolwa kwa kubadilisha kipande cha bomba chakavu kwa umbali wa mita 400 katika bomba la inchi 12".

Kukamilika kwa matengenezo haya kutarahisisha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi wa Vijiji vya Mdaula,Msolwa,

Matuli,Ubena,Kizuka, Mtambani, na Lulenge

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages