Breaking

Thursday 4 July 2024

"KUJITUMA KWENU KUTAJENGA DAWASA ILIYO BORA"- AWESO



Waziri wa Maji, Mhe.Jumaa Aweso (Mb) katika ziara yake leo Julai 4,2024 amekutana na Watumishi wa DAWASA - Kigamboni ambapo amesisitiza kufanya kazi kwa bidii na kudumisha umoja ili kuleta maendeleo katika mkoa wa Dar es Salaam.

Mhe. Aweso pia ameelekeza uongozi wa DAWASA kuboresha huduma ya maji Kigamboni ili kila mwananchi anufaike na huduma ya Maji.





Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages