Breaking

Tuesday, 4 June 2024

DAWASA YASHIRIKI WIKI YA MAZINGIRA KITAIFA DODOMA

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam DAWASA ni miongoni mwa washiriki wa Maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani inayofanyika tarehe 1- 5 Juni, 2024. Mkoani Dodoma.

Wiki ya Mazingira inaadhimishwa katika viwanja vya Jakaya Kikwete, na banda la DAWASA linapatikana katika banda la Wizara ya Maji na Taasisi zake.

Kauli Mbiu ni Urejeshwaji wa ardhi iliyoharibika, na ustahimilivu wa hali ya jangwa na ukame
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages