Breaking

Wednesday, 29 May 2024

MABORESHO HUDUMA YA MAJI GOBA KINZUDI



Kazi ya kudhibiti upotevu wa maji katika bomba la inchi 8 inaendelea kutekelezwa na mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika eneo la Usukumani - Kinzudi

Kukamilika kwa kazi hiyo itasaidia kurejesha na kuboresha huduma ya upatikanaji wa maji kwa wakazi wa maeneo ya Tatedo, Mtaa wa Tanzanite, Barabara ya Saleko, Mtaa wa Masaki, Kwa ndambi, Kwa Ulomi, Barabara ya Hawa Ngurume, Barabara ya Ng'ombe, Kinzudi Magorofani, Barabara ya Mwaikambo, Barabara ya Mwakapala, Kunguru shule & Bwawani

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages