DAWASA inatoa rai kwa wateja wote wa Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani kutoa ushirikiano kwa watumishi pindi wanapopita katika makazi yenu wakati zoezi hilo likiendelea.
Kwa msaada wasiliana nasi kupitia kituo cha huduma kwa wateja namba *0800110064*(Bure) na *0735-202121* WhatsApp tu.


