Breaking

Friday 16 February 2024

DKT. BITEKO AWASILI ARUSHA KUSHIRIKI MAZISHI YA HAYATI LOWASSA





Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa yanayotarajiwa kufanyika wilayani Monduli mkoani Arusha tarehe 17 Februari 2024.

Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), Dkt. Biteko alipokelewa na viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages