Breaking

Monday 15 January 2024

EMMANUEL NCHIMBI KATIBU MKUU CCM


Dkt. Emmanuel Nchimbi ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) akichukua nafasi ya Daniel Chongolo aliyejiuzulu.

Uteuzi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Misri, Dk Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wake mpya umefanyika leo Jumatatu Januari 15, 2024 wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya CCM kisha kuthibitishwa na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) iliyofanyika mjini Unguja, Zanzibar
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages