Breaking

Wednesday, 29 November 2023

WATU 13 WAFARIKI AJALI YA BASI KUGONGA TRENI MANYONI



Watu 13 wamefariki dunia na 25 kujeruhiwa katika ajali ya Basi la Ally's lenye namba za usajili T.178 DVB lililokuwa likitokea Jijini Dar es salaam kwenda Jijini Mwanza baada ya kugonga Treni za mizigo maeneo ya Manyoni leo Novemba 29,2023 majira ya Saa 11 alfajiri.



Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages