Breaking

Monday 13 November 2023

MWENYEKITI BODI TRA, NAIBU KAMISHNA MKUU TRA WAFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI GRA

 Leo tarehe 13 Novemba, 2023 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya  Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Uledi Mussa Abbas akiwa pamoja na Naibu Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Mcha Hassan Mcha  wamepokea na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Ghana (GRA) ukiongozwa na Mwenyekiti wake Prof. Peter Ohene Kyei. Ujumbe huo umetembelea TRA kwa ajili ya kujifunza musuala mbalimbali ya kodi ikiwa ni pamoja na kubadilishana uzoefu.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages