Breaking

Wednesday, 22 November 2023

MAJINA YA WANACHAMA WAPYA 72 WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI VIJIJINI TANZANIA (RUJAT)

Kamati ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini Tanzania (RUJAT) katika kikao chake kilichofanyika mjini Morogoro, Novemba 22, 2023, kwa mamlaka kiliyopewa na Mkutano Mkuu wa RUJAT, pamoja na mambo mengine kimejadili maombi 77 ya uanachama na kupitisha waombaji 72 kuwa wanachama wapya.

 Hatua hii imeongeza idadi ya wanachama kufikia 109

RUJAT inawakaribisha tuungane katika kujenga tasnia ya habari inayojali maslahi ya jamii vijijini. 

Majina ya wanachama wapya ni haya yafuatayo:

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (RUJAT), Neville Meena akizungumza wakati wa kikao cha kamati tendaji ya RUJAT
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (RUJAT), Neville Meena akizungumza wakati wa kikao cha kamati tendaji ya RUJAT
Katibu wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (RUJAT), Prosper Kwigize akizungumza wakati wa kikao cha kamati tendaji ya RUJAT
Katibu wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (RUJAT), Prosper Kwigize akizungumza wakati wa kikao cha kamati tendaji ya RUJAT

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages