Breaking

Friday, 27 October 2023

WAZIRI JAFO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI KOREA KUSINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akifanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Mhe. Togolani Mavura katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Korea Kusini ambapo yuko ziara ya kikazi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Mhe. Togolani Mavura mara baada kikao kilichofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Korea Kusini ambapo yuko ziara ya kikazi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo (wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Mhe. Togolani Mavura (wa tatu kushoto), Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Dustan Shimbo (wa pili kulia) na watendaji wengine wa Serikali mara baada kikao kilichofanyika katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Korea Kusini ambapo yuko ziara ya kikazi.

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages