Breaking

Sunday 22 October 2023

MAKONDA ATEULIWA KUWA KATIBU WA NEC, ITIKADI NA UENEZI CCM

 



Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Paul Makonda kuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM akichukua nafasi ya Sophia Mjema aliyeteuliwa kuwa Mshauri wa Rais Masuala ya Wanawake na Makundi Maalum.

Makonda amewahi kushika nafasi mbalimbali ikiwamo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.




Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages