
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Ndugu Kiula Kingu (wa nne kushoto) akitoa maelezo ya hali ya upatikanaji wa huduma ya maji na mikakati iliyopo ya kuboresha Usafi wa Mazingira mbele ya Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Nishati nchini (EWURA), inayoongozwa na Prof. Mark Mwandosya (wa kwanza kushoto).