Sunday, 8 October 2023

DKT. BITEKO KUMWAKILISHA RAIS SAMIA SHEREHE ZA UHURU NCHINI UGANDA






Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko leo Oktoba 8, 2023 ameondoka nchini kuelekea nchini Uganda kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 61 ya Uhuru wa nchi hiyo.

Maadhimisho hayo yanatarajiwa kufanyika Oktoba 9, 2023 nchini humo.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages