Breaking

Wednesday, 18 October 2023

AZZA HILAL ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA 'BIRTHDAY' NA WAZEE USANDA

Mkurugenzi wa Kiwanda Kidogo cha Kutengeneza Vifungashio Rafiki kwa Mazingira 'AZAT' Mhe. Azza Hilal Hamad amesherehekea Siku ya Kuzaliwa kwake 'Birthday' na Wazee wanaolelewa katika kituo cha kulelea Wazee cha Busanda kilichopo katika kata ya Usanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.

Mhe. Azza Hilal ambaye ni mkazi wa Tinde wilayani Shinyanga Mkoa wa Shinyanga amesherehekea Birthday yake na wazee hao leo Jumatano Oktoba 18,2023 kwa kukata keki na kuwapatia zawadi mbalimbali ikiwa ni utamaduni wake aliojiwekea kutembelea kituo hicho mara kwa mara.
Mkurugenzi wa Kiwanda Kidogo cha Kutengeneza Vifungashio Rafiki kwa Mazingira 'AZAT' Mhe. Azza Hilal Hamad (wa pili kulia) akipokelewa kwa shangwe na marafiki zake, wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda kilichopo katika kata ya Usanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kusherehekea Siku yake ya Kuzaliwa 'Birthday' leo Jumatano Oktoba 18,2023. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkurugenzi wa Kiwanda Kidogo cha Kutengeneza Vifungashio Rafiki kwa Mazingira 'AZAT' Mhe. Azza Hilal Hamad (wa pili kulia) akipokelewa kwa shangwe na marafiki zake, wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda kilichopo katika kata ya Usanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga kusherehekea Siku yake ya Kuzaliwa 'Birthday' leo Jumatano Oktoba 18,2023.
Mkurugenzi wa Kiwanda Kidogo cha Kutengeneza Vifungashio Rafiki kwa Mazingira 'AZAT' Mhe. Azza Hilal Hamad (kulia) akikata keki na mmoja wa wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda kilichopo katika kata ya Usanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga akisherehekea Siku yake ya Kuzaliwa 'Birthday' leo Jumatano Oktoba 18,2023
Mkurugenzi wa Kiwanda Kidogo cha Kutengeneza Vifungashio Rafiki kwa Mazingira 'AZAT' Mhe. Azza Hilal Hamad (kulia) akilishwa keki na mmoja wa wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda kilichopo katika kata ya Usanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga akisherehekea Siku yake ya Kuzaliwa 'Birthday' leo Jumatano Oktoba 18,2023
Zeozi la kuwasha mshumaa likiendelea
Mkurugenzi wa Kiwanda Kidogo cha Kutengeneza Vifungashio Rafiki kwa Mazingira 'AZAT' Mhe. Azza Hilal Hamad akimlisha keki mmoja wa wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.

Mkurugenzi wa Kiwanda Kidogo cha Kutengeneza Vifungashio Rafiki kwa Mazingira 'AZAT' Mhe. Azza Hilal Hamad akiendelea kuwalisha keki wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Mkurugenzi wa Kiwanda Kidogo cha Kutengeneza Vifungashio Rafiki kwa Mazingira 'AZAT' Mhe. Azza Hilal Hamad akigawa juisi na soda kwa wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Mkurugenzi wa Kiwanda Kidogo cha Kutengeneza Vifungashio Rafiki kwa Mazingira 'AZAT' Mhe. Azza Hilal Hamad akizungumza na wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Mkurugenzi wa Kiwanda Kidogo cha Kutengeneza Vifungashio Rafiki kwa Mazingira 'AZAT' Mhe. Azza Hilal Hamad akipiga picha ya kumbukumbu na wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Mkurugenzi wa Kiwanda Kidogo cha Kutengeneza Vifungashio Rafiki kwa Mazingira 'AZAT' Mhe. Azza Hilal Hamad akipiga picha ya kumbukumbu na viongozi pamoja na wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Mkurugenzi wa Kiwanda Kidogo cha Kutengeneza Vifungashio Rafiki kwa Mazingira 'AZAT' Mhe. Azza Hilal Hamad akiagana na wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.

Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages