Breaking

Monday, 25 September 2023

Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi Mlango kwa Mlango yafanyika mkoani Morogoro

Afisa Msimamizi wa Kodi Mwandamizi Bi. Immaculate Chaggu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) akimuelimisha mfanyabiashara wa Mikese mkoani Morogoro wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi mlango kwa mlango ambayo imeanza leo mkoani hapa.
Afisa Msimamizi wa Kodi Mwandamizi Bw. Joel Lema wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) akimuelimisha mfanyabiashara wa Mikese mkoani Morogoro wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi mlango kwa mlango ambayo imeanza leo mkoani hapa.

Afisa Msimamizi wa Kodi Mkuu Bi. Kissa Kejo wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) akifurahia jambo na mfanyabiashara wa Mikese mkoani Morogoro wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi mlango kwa mlango ambayo imeanza leo mkoani hapa.
Afisa Msimamizi wa Kodi Mwandamizi Bw. Freddy Mwesiga wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) akiwaelimisha wafanyabiashara wa Mikese mkoani Morogoro wakati wa kampeni ya elimu kwa mlipakodi mlango kwa mlango ambayo imeanza leo mkoani hapa.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages