Breaking

Tuesday, 12 September 2023

CHATANDA AWAOMBA WANANCHI KATA ZA LUHANGA NA IGURUSI WAMCHAGUE BAHATI NDINGO MBUNGE WA MBARALI


Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amekutana na wananchi wa kata wa Luhanga na Igurusi  Wilayani Mbarali  Mkoani Mbeya na kuwaomba wamchague Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Bahati Ndingo kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbarali.

Akizungumza leo  na wananchi wa kata hizo  Mwenyekiti Chatanda amesema UWT Taifa imejipanga kikamilifu kutafuta kura za Mgombea wa CCM  Jimbo la Mbarali usiku na mchana ili chama  Cha Mapinduzi  kishinde kwa kishindo.

UWT IMARA JESHI LA MAMA KAZI IENDELEE
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages