Breaking

Thursday, 6 July 2023

Picha: NAIBU WAZIRI DKT. KIRUSWA ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MADINI, TAASISI NA WADAU MAONESHO YA SABASABA 2023



Matukio katika picha

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa akitembelea banda la Wizara ya Madini, Taasisi zake na wadau wa Sekta ya Madini kabla ya Ufunguzi wa Jukwaa la Madini Tanzania, Sabasaba Expo Village 2023 jijini Dar es Salaam.


























Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages