Breaking

Saturday, 1 July 2023

MBUNGE WA JIMBO LA MBARALI AFARIKI KWA AJALI YA TREKTA

 


Mbunge wa Jimbo la Mbarali Mhe. Francis Leonard Mtega amefariki dunia leo Julai 1,2023 kwa ajali ya kugongwa na Trekta (Power Tiller) shambani kwake Mbarali Mkoani Mbeya
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages