Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited (EASTL) Shinyanga inayotengeneza vinywaji vya Diamond Rock na Hanson's Choice imetambulisha rasmi vinywaji vipya (Bia Mpya) maarufu Goldberg na Hanson's Lite.
EASTL imetambulisha Goldberg na Hanson's Lite leo Ijumaa Julai 28,2023 kwenye viwanja vya Sabasaba Mjini Shinyanga mahali ambapo kumefanyika mkesha wa Mwenge wa Uhuru
Goldberg na Hanson's Lite vimepokelewa kwa kishindo ambapo wamejitokeza kwa wingi katika Banda la EASTL kupata na kufurahia vinywaji hivi vya kipekee na ladha ya kipekee sana!! Tayari vinywaji hivi vipo mtaani...!!
Wadau wakiwa katika banda la EASTL usiku huu wakijipatia Goldberg na Hanson's Lite