Breaking

Friday, 30 June 2023

Tanzia : MSANII CHAP CHAP AFARIKI DUNIA

  

Msanii maarufu wa nyimbo za utamaduni  wa kikundi cha Shinyanga Arts Group Fadhili Mungi maarufu Chap Chap (44) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Ijumaa Juni 30,2023 jijini Dar es salaam.


ChapChap alikuwa anasumbuliwa na tatizo la Kansa katika mfumo wa hewa kwa muda mrefu na hivi karibuni alifanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Taarifa za awali zinasema mazishi yatafanyika kesho  Chang'ombe Kisarawe.

R.I.P Fadhili Mungi


Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages