Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wanashiriki katika maonesho ya Kimataifa ya Kilimo na Mazingira nchini Qatar kwa ajili ya kutoa elimu na kuonesha ulimwengu jinsi mazingira ya uwekezaji yalivyoboreshwa na kurahisishwa kwa ajili ya kuvutia uwekezaji nchini. Vilevile wanaeleza fursa zilizopo za uwekezaji hasa katika kilimo endelevu kinachozingatia uhifadhi wa mazingira pamoja na utalii kwa ajili ya maendeleo endelevu. Baraza linaelimisha wawekezaji wa Kimataifa juu yav na kufanya Tathimini ya Athari kwa Mazingira (TAM)
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990