Breaking

Wednesday, 25 January 2023

SERIKALI YAWACHUKULIA HATUA WATUMISHI WA AFYA WALIOTOLEANA MANENO YASIYOFAA KAZINI


Watumishi hao ni Rose Shirima ambaye ni muuguzi mkunga na Getogo James Chuchu Mteknolojia wa maabara ambao walikuwa wakibishana na kutoleana lugha zisizofaa kazini hali iliyosababisha taaruki kwa umma;

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages