Breaking

Monday, 19 December 2022

WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KWA KUANGUKIWA NA GHOROFA - MOSHI



Watu watano wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na ghorofa katika kijiji cha Sembeti, Marangu, Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro

Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Abbas Kayanda amethibitisha vifo hivyo na kueleza kuwa Watu wengine kadhaa waliokuwa katika eneo hilo wameokolewa.


Via: Eatv
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages