Na lango la habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za sikukuu za Krismasi na Mwapa Mpya huku akitoa tahadhari kwa watumiaji wa barabara.
Rais Dkt. Samia ametoa salamu hizo Disemba 23, 2022 Kupitia kurasa zake za kijamii, Instagram na Twitter ikiwa zimesalia siku chache Kufika sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya.
"Panapo majaliwa, siku chache zijazo tutasherehekea sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya. Nawatakia nyote kheri katika sherehe hizi ili ziwe za furaha na zisizo na misiba inayoweza kuepukika" amesema Rais Dkt. Samia
"Nawasihi wasafiri na madereva kuzingatia sheria za usalama barabarani na kuchukua tahadhari" Amesisitiza Rais Dkt. Samia