Maafisa wa Wakala Usajili wa Biashara Leseni (BRELA) wamendelea kutoa huduma za papo kwa papo za kuramisha biashara katika maonesho ya 7 ya bidhaa za Viwanda vya Tanzania, ikiwa ni pamoja na kukabidhi vyeti kwa waliokamilisha usajili.
Katika maonesho hayo yanayohitimishwa tarehe 09 Desemba, 2022 huduma za BRELA zinatolewa ndani ya banda la Karume.