Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Elimu (TEA), Bahati Geuzye katika hafla ya kufungua na kukabidhi mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150.Hafla hiyo imefanyika leo Novemba 8,2022.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda akikata utepe kuzindua mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda akifungua kitambaa kuzindua mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda katika hafla ya kufungua na kukabidhi mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150.Hafla hiyo imefanyika leo Novemba 8,2022. Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe.Ridhiwan Kikwete akizungumza katika hafla ya kufungua na kukabidhi mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150.Hafla hiyo imefanyika leo Novemba 8,2022. Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Elimu (TEA), Bahati Geuzye akizungumza katika hafla ya kufungua na kukabidhi mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150.Hafla hiyo imefanyika leo Novemba 8,2022. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Flaviana Matata, Flaviana Matata akizungumza katika hafla ya kufungua na kukabidhi mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150.Hafla hiyo imefanyika leo Novemba 8,2022. Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe.Zainab Abdallah akizungumza katika hafla ya kufungua na kukabidhi mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150.Hafla hiyo imefanyika leo Novemba 8,2022. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda (katikati) akiwa meza kuu na baadhi ya viongozi na wadau wa elimu nchini katika hafla ya kufungua na kukabidhi mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150.Hafla hiyo imefanyika leo Novemba 8,2022.
Miongoni mwa wananchi wa kata ya Kiwangwa Chalinze mkoani Pwani wakifuatilia hafla ya kufungua na kukabidhi mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150.Hafla hiyo imefanyika leo Novemba 8,2022.
(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)
*********************
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda amehimiza watanzania kuona fahari ya kutoa kwa hiari michango ya kusaidia maendeleo ya Elimu nchini hasa kwa kuchangia shule walizosoma ili kkusaidia jitiihada za Serikali katika kuboresha Mazingira ya kujifunza na kufundishia.
Prof. Mkenda ametoa wito huo alipokuwa akifungua na kukabidhi mradi wa nyumba za walimu katika Shule ya Msingi Msinune katika Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani zilizojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Flaviana Matata kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kupitia Mfuko wa Elimu wa Taifa kwa thamani ya Sh, milioni 150.
Waziri Mkenda amesema uamuzi wa Serikali wa kutoa Elimu bila ada kuanzia elimu ya awali hadi ya kidato cha sita katika shule za umma haizuii wananchi kutoa michango ya Elimu katika maeneo yao.
Amesema wananchi wamekuwa wepesi kutoa michango katika masuala ya kijamii ikiwa ni pamoja na harusi na misiba hivyo ari hiyo waielekeze kwenye sekta ya Elimu pia.
Awali Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Flaviana Matata, Flaviana Matata amehimiza mtanzania mmoja mmoja kuchangia katika jitihada za kuboresha sekta ya Elimu ambapo amesema nchi itajengwa na watanzania wenyewe na sio kutegemea wafadhili kutoka nje
Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Elimu (TEA), Bahati Geuzye amesema Mamlaka imetumia Sh Bilioni 1.7 kufadhili miradi mbali mbali ya Elimu katika mkoa wa Pwani kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka 2020/2021.