Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano maalum utakaofanyika Oktoba 03, 2022 (Jumatatu) kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana
Mada; Mjadala wa kitaifa juu ya Hali ya Kiusalama na Jitihada za Jeshi la Polisi katika kudhibiti Panya Road katika Mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, Arusha na Dodoma
Muda ukifika (Saa 5 kamili asubuhi, Oktoba 03, 2022 - (Jumatatu) utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya ~ https://bit.ly/3RqUjbW
Au kupitia
Meeting ID: 879 7295 1302
Passcode: 286228
Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.
Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania